Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu Frederick Sumaye amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ kanda ya Pwani, ambayo alipelekewa nyumbani kwake na chama hicho.

Sumaye ana wapinzani wawili ambao ni John Gugunita na Gango Kidera, amezungumza haya baada ya kurejesha fomu……

Juventus Waingilia Mpango Wa Babu Wenger
Waziri Charles amsimamisha kazi mtendaji mkuu wa wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula, Charles