Uongozi wa Klabu ya Simba umekiri kushindwa kuinasa saini ya Kocha wa Zimbabwe Kalisto Pasuwa baada ya kocha huyo kuongezewa mkataba wa kuinoa timu ya taifa ya Zimbabwe, Hayo ameyaeleza Mwenyekiti wa kamati ya usajili klabu ya Simba , Zacharia Hans Pope

Cristiano Ronaldo avunja rekodi ya Utajiri, akalia kiti cha Mayweather
JPM kuongoza maadhimisho ya Kimataifa ya watu wenye ualbino