Baada ya kufanya kolabo na baadhi ya wasanii kutoka Marekani wakiwemo Drake, Chris Brown, na Ty Dolla Sign mwanamuziki Wizkid kutoka Nigeria ametoa ngoma mpya akiwa amemshirikisha Future katika wimbo unaitwa ‘Everytime’.

Wizkid ambaye anazidi kuwika kimataifa akiwa ameupeleka muziki wa Afrika ya magharibi kona tofauti za dunia  mwezi Juni aliachia albamu yake inayoitwa ‘Sounds from the other side’ akiwa amewashirikisha Chris brown, Drake pamoja na Ty Dolla Sign.

Mashabiki wengi walikuwa wakisubiri wimbo huu kwani ni kwa muda mrefu Wizkid amekuwa akitangaza uwepo wa wimbo ambao ameshirikiana na Future na sasa umetoka.

Sikiliza wimbo huo wa Wizkid akimshirikisha Future hapa chini;

Wizkid featuring Future_Everytimemp3

 

Bila Tottenham kufanya hivi Kane anatimka
Wafahamu Marais tajiri Afrika