Gwiji wa mchezo wa tennis duniani, Rafael Nadal  ameushangaza ulimwengu kufuatia kupoteza mchezo wake wa kwanza katika michuano ya Australian Open.

Nadal, ambaye aliwahi kuwa kinara kwa ubora duniani, alijikuta akipoteza mchezo wa hii leo mbele ya mspaniola mwenzake Fernando Verdasco, katika seti ya nne ya mchezo.

Waspaniola

Kwa ujumla Rafa Nadal, amekubali kupoteza kwa seti tatu kwa mbili ambazo ni 7-6, 4-6, 3-6, 7-6, 6-2.

Hii inakuwa kwa mara ya kwanza, Nadal kushindwa kusonga mbele katika mzunguuko wa pili wa michuano hiyo kwa kipindi cha miaka sita iliyopita, hali ambayo imeanza kuchukuliwa kama anguko lake katika mchezo wa tennis.

Nadal

Afisa Elimu ampiga makofi mwalimu kwa uchelewaji
Venus Williams Atupwa Nje Australian Open