Matajiri wa jiji la Dar es salaam, Azam FC wameweka wazi kuwa kwa sasa wanaendelea na mazoezi na wachezaji ambao hawajaitwa kuyatumikia mataifa yao kwa ajili ya kufuzu Michuano ya Afrika (AFCON).

Azam HC wameanza Vizun kwenye ligi kuu wakifanikiwa kushinda mechi zao mbili dhidi ya lavosce kwa mnabao 4-0 na ule dhidi ya Prisons walioshinda mabao 3-1.

Ofisa Habari wa Azam. Hashim Ibwe amesema: “Tunachohitaji kufanya ni kuwa na mwendelezo mzuri kwenye mashidano ambayo tutashiriki ikiwa ni pamoja na ligi yenye ushindani mkubwa.

Hakuna ambaye anapenda kuona unakuwa kwenye mwendo wa kusuasua, lakini yote haya yanafanyiwa kazi na unaamini tutazidi kuwa imara zaidi.

Emilio Butragueno: Hatutaleta dharau Ulaya
Max Allegri: Juventus tumejitafuta, tumejipata