Baba mzazi wa msanii wa bongo fleva, Ali kiba Mzee Saleh Kiba amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhumbili Jijini Dar es Saalam alipokuwa akipatiwa matibabu, ambapo chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana.

Msemaji wa familia amethibitisha taarifa za msiba huo na kusema kuwa msiba huo upo nyumbani kwa Marehemu Kariakoo mtaa wa Muheza Jijini Dar es Salaam, ambapo mipango ya mazishi inafanyika. na wanatemegema kumpumzisha marehemu katika nyumba yake ya milele leo sa kumi jioni.

Endelea kufuatili Dar 24 Kwa taarifa zaidi,

Image result for mzee saleh kiba

 

Wanafunzi 14 wajeruhiwa na radi mkoani Kagera
Kidato cha kwanza waruhusiwa kuvaa sare za shule ya msingi

Comments

comments