Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Malawi, Nancy Tembo Jijini Lilongwe nchini humo.

Julai Mosi, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi Kayola kuwa Balozi Tanzania nchini Malawi.

Jorge Mas: Haikuwa rahisi kumsajili Messi
Ndugu wadai Marehemu alikataa ushauri