Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akihojiwa na mwandishi wa Kituo cha Runimga cha Channel 10, Bw. Ezekiel Mwamboko. Aliyemshikia kipaza sauti ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,, Balozi Mindi Kasiga.
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Jumuiya ya Madola wanaoshiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa jumuiya hiyo unaofanyika nchini Rwanda tarehe 20 hadi 25 Juni 2022.
|
|