Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Malawi Balozi Humphrey Polepole.

Viongozi hao wamezungumzia masuala mbalimbali ya uwakilishi yenye manufaa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Balozi wa Tanzania nchini Malawi Balozi Humphrey Polepole upande wa Kushoto akimuelezea jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula leo Machi 25, 2022.
Balozi wa Tanzania nchini Malawi Balozi Humphrey Polepole

IGP Sirro atoa maagizo kwa wakuu wa upelelezi mikoa
Ngorongoro yaikutanisha serikali na mabalozi