Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Stephen Simbachawene, amewasilisha hati za utambulisho kwa rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta.

Rais Kenyatta amepokea hati za utambulisho za Balozi Simbachawene katika hafla ya kuwasilisha hati hizo iliyofanyika Ikulu ya Kenya, jijini Nairobi.

Balozi Simbachawene amemhakikishia Rais Kenyatta kuwa ataendelea kuboresha mahusiano ya nchi hizo mbili na kukuza biashara baina ya nchi hizo kwa kuboresha diplomasia ya uchumi kwa ujumla wake.

Uwepo wa balozi wa Tanzania nchini Kenya utaendeleza ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya

Babu Zlatko Krmpotic aomba muda Young Africans
Shirika la ndege KLM, Qatar na Ethiopian kuongeza safari Tanzania