Basi la Rungwe Express linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Dar es salaam limepata ajali mbaya kwa kugongana na gari lingine dogo la abiria linalofanya safari kati ya Iringa na Morogoro.

Ajali hiyo imetokea katika maneno ya Iyovi mkoani Morogoro leo, taarifa zinasema abiria kadhaa wamejeruhiwa

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Dar24 Media

 

Polisi Dar yaua majambazi 6
Serikali yazionya NGOs, yaanza kuzichunguza kimyakimya

Comments

comments