Basi la Kampuni ya Luwinzo lililokuwa likitokea Njombe kuelekea jijini Dar es Salaam limepata ajali leo asubuhi baada ya kugongana na roli .

Ajali hiyo imeripotiwa kutokea katika eneo la Kinegembasi, Kata ya Mbalamaziwa wilaya ya Mufindi imeripotiwa kusababisha vifo vya watu wawili huku abiria wengi wakijeruhiwa vibaya.

Basi hilo hufanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Njombe.

Chanzo: Radio One

 

Serikali yamjibu Dk. Mahanga kwa kukosoa uteuzi wa Makatibu wakuu
Mbunge wa Chadema na Wananchi Wapinga Mahakamani Zoezi la BomoaBomoa