Safari ya Real Madrid na kocha Rafa Benitez imefikia ukingoni baada ya kutimuliwa leo.
Gwiji la timu hiyo, Zinedine Zidane amepewa jukumu la kukinoa kikosi cha Madrid na ndiyo anakuwa mocha mkuu.
Zinedine Zidane (left) has been announced as the new Real Madrid manager following Rafa Benitez's sacking
Real Madrid imemtimua Benitez baada ya miezi sita tu  na ikiwa ni sikh mona tu baada ya safe ya mabao 2-2 dhidi ya  Valencia inayonolewa na Kocha Gary Neville ambaye ni nyota wa zamani wa Man United.

Simba Ashindwa Kuunguruma Kisiwani Unguja
Video Mpya: Mwana FA - Asanteni Kwa Kuja