kiungo mshambuliaji wa klabu ya Stoke City, Bojan Krkic amegeuka lulu baada ya vilabu vikubwa barani Ulaya kupigana vikumbo kusaka saini yake.

Miongoni mwa vilabu vinavyotajwa kumwania mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona ni pamoja na Manchester United na Chelsea.

Hatua hiyo imekuja baada ya Krkic kung’ara vilivyo msimu huu ikiwa ni pamoja na kuifungia Stoke mabao muhimu likiwemo lile la ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United Jumamosi iliyopita.

Ronaldo Achoshwa Na Matusi Ya Mashabiki
Arsene Wenger Atangaza Njaa Ya Usajili