Kampuni ya Aforevo inakuletea filamu mbalimbali za kibongo katika channel zake za youtube, na zifuatazo hapo chini ndizo filamu mpya zilizotoka hivi karibuni, ungana na Aforevo  kwa filamu zote hizi na nyinginezo nyingi kutoka hapa hapa.

Hivyo basi  wa wapenzi wa Bongo movie ufuatao ni uwanja wenu;

Jina la movie: MUOKOTA MAKOPO

Chaneli: SWAHILI SINEMA TV

Kifupi: Nelson kijana mtanashati anakwenda kwa mganga kwa nia ya kumpoteza baba yake ili aweze kumiliki mali nyingi, baadaye anapata mwanamke aitwae Emmy na anakatazwa kukutana nae kimwili lakini kuna siri iliyojificha ndani yake na Emmy Je ni nini kitafuata na siri gani fatilia zaidi, kwenye link hapo chini.

Link: https://youtu.be/O_Azv-g20H0

 

Jina la movie: NITARUDI

Chaneli: SWAHILI PRIDE

Kifupi: NITARUDI, yahusu kijana alie tengwa na ndugu zake baada ya baba yake pamoja na watoto wenzake kufariki dunia, ndugu zake hao wanaamua kumloga kumloga na kumwonesha vitimbwi vya hapa na pale,  Kujua nini kitamkumba kijana huyu na ndugu zake bonyeza link hiyo chini.

Link: https://youtu.be/hWlxt9SJJPA

 

Jina la movie: WALIMWENGU

Chaneli: 24HRS SWAHILI STAR MOVIE

Kifupi: Ni movie inayoelezea jinsi ndugu wawili walivyoingia kwenye penzi nzito  bila kufahamu kuwa ni mtu na dada yeke,  bofya link hapo chini  kuangalia mkasa huu wote.

Link: Part 1:  https://youtu.be/MrbuUxrv-fY  Part 2: https://youtu.be/WI0b6arkKWE 

 

Jina la movie: MTOTO WA SHEIKH

Chaneli: SWAHILI UNIVERSE

Kifupi: Mwangalie kijana Feisal ambae ni mcha Mungu lakini anakosea na kumuoa Rahma ambae ni kama dada yake, kitu kinachomsababishia ajikute anaingia kwenye ujambazi bila kupenda, Je nini hatima ya Feisal fatilia zaidi kwa kubofya linki hapo chini.

Link:  https://youtu.be/e3RaX8eRvGo

 

Jina la movie: MALKIA WA MAJINI

Chaneli: SWAHILIWOOD HOME TV

Kifupi: kutana na Bahati Bukuku kwenye movie hii inayoelezea kisa cha binti anayehangaika kupata mtoto na hatimaye kujiingiza kwenye ushirikina na kukutana na majini, fuatilia movie nzima kwakubonyeza linki hapo chini.

Link: Part 1: https://youtu.be/2yrfoQcuYaI

Part 2: https://youtu.be/Km1bstL16X0

 

Jina la movie: GIFT OF DIAMOND

Chaneli: FILAMU ZA KIBONGO

Kifupi: Aangalia kijana aliyepewa urithi wa ALMASI na babu yake kabla ya kufariki, fuatilia kijana huyo akienda nayo mjini kutafutia maisha. Nini kitamkumba nonyeza linki hapo chini.

Link: https://www.youtube.com/watch?v=3m8S2b2OkQ8&t=906s

 

Jina la movie: UONGO

Chaneli: BONGO SINEMA

Kifupi: Kutana na TIN WHITE pamoja na RINGOwanavyotumia  UONGO kulaghai wakina dada, Je wanawafanyaje na wanawafanya nini ? Angaza macho na tega skio usikose vituko na vichekesho vilivyo igizwa na wasanii hawa mahiri bonyeza llinki hapo chini.

Link: https://www.youtube.com/watch?v=VZhYQ3uz6ig

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Desemba 17, 2018
Bilioni 133.2 zimekwishalipwa kwa wakulima wa Korosho - Hasunga

Comments

comments