Fuatilia hapa yanayojiri nchini Kenya ambapo hali tete imezidi kugubika katika baadhi ya miji ya nchi hiyo, mabomu ya machozi yakisikika kwa wingi kutuliza vurugu zinazoonekana kutaka kushika kasi katika maeneo mbali mbali ya Kenya wakipinga urais wa Kenyatta ambaye tayari ameshaapishwa mapema leo Novemba 28, 2017 na Jaji Mkuu wa nchi hiyo, David Maraga ambaye ndiye aliyetengua matokeo ya ushindi wake baada ya uchaguzi wa Agosti 8 kwa amri ya mahakama. Bofya hapa kutazama muda huu.

 

Eduardo Berizzo kufanyiwa upasuaji
LIVE KENYA: Kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta