Kufuatia uchaguzi mdogo wa marudio katika Jimbo la Ukonga kufanyika jana Septemba 16, 2018, mapema muda huu matokeo ya uchaguzi huo yametangazwa ambapo aliyekuwa mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara ameibuka kidedea baada ya kushinda kwa asilimia 89.9 akifuatiwa na mpinzani wake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Siah Msangi ambaye amepata asilimia 9.95.

 

Gabriel Zakuani awapisha vijana DR Congo
Arusha kuanzisha mahakama ya jiji, yatenga milioni 20