Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemkana msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu kuwa hakuwahi kuwa mwanachama wao.

BAVICHA wamesema hakuwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA ndio maana hakukabidhiwa jukumu lolote katika chama hicho.

Aidha, wameongeza kuwa msanii huyo alikuwa shabiki wa chama ambaye alikuwa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Hata hivyo, msanii huyo siku za hivi karibuni ametangaza kuachana na chama hicho kwa madai ya kukosa amani ndani ya chama hicho.

Video: Makachero Polisi uso kwa uso na Lissu Nairobi, Askofu Gwajima abomoa kanisa lake
Mcheza filamu maarufu wa India afariki dunia