Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi – CCM, Daniel, Chongolo, leo Ijumaa, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Bi. Chen Mingjian, aliyeambatana na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, jijini Dar Es Salaam.

Mazungumzo hayo yaliyolenga kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji kati ya pande hizo mbili, pamoja na kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidugu baina ya nchi za Tanzania na China chini ya uongozi wa Vyama vya CCM na CPC, mtawalia.

Mafia kitivo Mazalia ya Samaki Duniani - Meena
Idadi ya vifo, kupotea Baharini yaongezeka mara tatu