Mwimbaji wa Nigeria, Davido ameweka wazi kuwa amesaini mkataba mzito na kampuni ya muziki ya Sony Music Global.

Davido amevunja rekodi kwa kuwa msanii wa kwanza Afrika kusaini mkataba wa mamilioni na kampuni hiyo.

Kupitia Instagram, Davido amepost picha akisaini mkabata huo na kuandika ujumbe wenye majigambo na shukurani.

“TO ALL THOSE THAT DOUBTED ME!! ITS A DONE DEAL! 1ST AFRICAN ARTIST TO SIGN A GLOBAL RECORD DEAL !! MY STORY IS JUST STARTING!! MY MOTHER IS SMILING IN HEAVEN RIGHT NOW!! SONY MUSIC ENTERTAINMENT !! OWO TI WOLE @sonymusicglobal,” aliandika.

Davido2

 

Magaidi walipua bomu ufukweni
Pinda awatahadharisha wabunge wa CCM