Orodha ya washindi wa tuzo za East Africa Entertainment (EAEA), 2022 imetoka na watu maarufu kutoka katika tasnia za burudani kwa ukanda wa Afrika mashariki, wamejinyakulia tuzo hizo kutoka katika vipengele tofauti tofauti.
Mwimbaji mahiri, kutoka katika tasnia ya muziki wa bongo fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, huku tuzo ya msanii bora wa kike ikichukuliwa na mama Kijacho muimbaji mahiri Nandy.
Rapper Khaligraph Jones kutoka Kenya yeye alijishindia tuzokwenye kipengele cha ‘best male HipHop act’.
Mwimbaji wa RnB Otile Brown alitunukiwa tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana Afrika Mashariki ‘best collaboration East Africa’ kupitia collabo yake na msanii Harmonize,
Nyashinski alipata tuzo ya msanii bora wa kiume legendary ‘ best male legendary artiste’.
kwa upande wa Tanzania wengine ni Jux, Romy Jons, Hanscana, S2kizzy, Jay Melody, Mc Gara B, Rosa ree, Wema Sepetu pamoja na mtangazaji Millard Ayo ambaye ameshinda tuzo ya mwanahabari bora wa mwaka.
Ifuatayo ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za East Africa Entertainment awards.
Here is the full list of winners at the East Africa Entertainment Awards;
Artiste of the year, Kenya – Otile Brown
Artiste of the year, Rwanda – Meddy
Artiste of the year, Tanzania – Diamond Platnumz
Artiste of the year, South Sudan – John Frog
Artiste of the year, Uganda – Eddy Kenzo
Artiste of the year, Burundi – Sat B
Artiste of the year, DRC – Fally Ipupa
Best overall Africa hit song – Buga (Kizz Daniel)
Best collaboration song International – IYO (Diamond Platnumz)
Video of the year, East Africa – Dawa ya Baridi (Mr Seed ft Masauti)
Best East Africa artiste in Diaspora – The Ben
Lifetime achievement Award – Koffi Olomide
Best sports personality – Ferdinand Omanyala
Best record label East Africa – WCB Wasafi
Best breakthrough gospel act – Irene Robert
Best media personality – Millard Ayo
Best male inspirational youth icon – Mwalim Churchill
Best female inspirational youth icon – Wema Sepetu
Best Legendary artiste – Nyashinski
Best Live-band performance act- Barnaba Classic
Best female legendary artiste – Nazizi
Best gospel artiste East Africa – Christina Shusho
Best male HipHop artiste – Khaligrpha Jones
Best female HipHop artiste – Rosa Ree
Outstanding foundation/Community initiative – Octopizzo foundation
Best Fashion influencer – Juma Jux
Best event host/MC- MC Gara B
Best breakthrough male artiste – Jay Melody
Best Movie/film star – Celestine Gachuhi (Celina)
Best Collaboration song- East Africa – Woman (Otile Brown ft Harmonize)
Best Comedian – Eric Omondi
Best audio producer – S2Kizzy
Best overall global hit song – Peru (Fireboy DML FT Ed Sheeran)
Best Male East Africa – Diamond Platnumz
Hitsong Of The Year (Sukari) – Zuchu
Best Female Artist East Africa – Nandy
Best Dj East Africa – Romy Jons
Best Hit Music Video Director – Hanscana
Best Collaboration Song (Mama Tetema & Maluma ) – Rayvanny