‘Naomba kuwatoa hofu wanachama wa CCM hapa Wilayani Nzega, Mbunge wenu Hussein Bashe sio mwanachama mtukutu hata kidogo. Ni moja kati ya wabunge wadadisi sana tulionao ndani ya CCM. Yeye na mwenzake Nape ni wabunge wadadisi kwelikweli na michango yao ndani ya bunge huwafanya mawaziri kufikiria sana kabla ya kutoa majibu ya serikali bungeni, hawa ndiyo aina ya wabunge ambao tunawahitaji katika kipindi hiki cha ujenzi wa uchumi wa kitaifa,”amesema Dkt. Bashiru

Mrema awatangazia kiama wanao mtolea lugha chafu JPM
Balozi wa Korea Kusini akabidhi Ambulance