Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameondoka Nchini hii leo Oktoba 8, 2023 kuelekea Uganda kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Taifa hilo.

Rais Samia aendeleza kazi angani, India wampokea kwa kishindo
Rais Dkt. Samia awasili India