Dkt. Mwakyembe na familia yake katika ibaada ya mazishi ya mke wake Linah
8 years agoComments Off on Dkt. Mwakyembe na familia yake katika ibaada ya mazishi ya mke wake Linah
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt. Harisson Mwakyembe pamoja na familia yake wakiwa pamoja na waombolezaji wakati wa Ibada misa ya mazishi ya mkewe, Linah George Mwakyembe yaliyofanyika Kyela, Julai 19, 2017.