Droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), imefanyika leo Jumatano Desemba 06, 2017 kwenye Studio za Kituo cha Televisheni cha Azam, kilichopo Tabata, Dar es Salaam.

Droo hiyo ilisimamiwa na Shirikisho la soka nchini TFF kwa kushirikiana na Mdhamini wa michuano hiyo – Kituo cha Televisheni cha Azam, imetachezeshwa na wachezaji wanne wa zamani.

Wachezaji hao walioshuhudiwa na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari na viongozi wa timu husika, ni makipa wa zamani wa Taifa Stars ya Tanzania, Mohammed Mwameja na Steven Names kadhalika Bita John na Kanneth Mkapa.

Ifuatayo ni ratiba ya mzunguuko wa pili wa michuano ya kombe la shirikisho ambayo itachezwa kati ya Desemba 22, 23. 24 na 25 mwaka huu.

Magazeti ya Tanzania leo Desemba 7, 2017
Makala: Mudathir Yahya anapotupa maana ya mchezaji wa mkopo