Rapa Mkongwe, Jaffarai amefanya mahojiano maalum na tovuti ya Dar24 na kufunguka mambo mengi muhimu yanayomhusu yeye binafsi, siasa, muziki wake na biashara zake na mengine.

Katika mahojano hayo, Jaffarai amewapa somo vijana namna ya kuanzisha biashara yenye mafaikio wakiwa na mtaji wa kawaida kabisa kama alivyofanya yeye. Ameeleza pia namna alivyovutwa na Rais John Magufuli kuingia kwenye siasa, wazo ambalo hakuwahi kuwa nalo licha ya kuishi kwenye uhusiano wa mapenzi wa muda mrefu na mwanasiasa.

Kadhalika, Rapa huyo anaeunda Kundi la Wateule, amezungumzia maisha yake nje ya muziki na ujio wake mpya utakaokita spika za mashabiki wake hivi karibuni pamoja na uwepo/ukimya wa kundi la ‘Wateule’ pamoja na kazi zao.

Msikilize hapa:

 

 

 

Chadema waponea ChupuChupu kuvurugana?
Serikali ya Magufuli Kuwapima watoto 'DNA' kujua wazazi wao halisi