Msanii wa muziki wa injili chini Tanzania, Betty Barongo amechambua mashairi ya wimbo wake wa “Prisoner no more” kupitia kipindi cha burudani cha MSTARI KWA MSTARI cha Dar24 Media.

MSTARI KWA MSTARI ni kipindi kinachohusu uchambuzi wa mashairi ya nyimbo za wasanii ambapo msanii mwenyewe anafanya uchambuzi huo ili kuwafaya mashabiki kuelewa kiundani kuhusu wimbo husika na maana halisi ya sentensi zilizotumika katika wimbo huo na kwanini.

Bofya hapa kutazama One the Incredible akiyaweka wazi mashairi yake na kwanini ameimba hivyo.

Video: Jeshi la Polisi Dar laua majambazi watatu
Siri ya Laurent Koscielny kuikacha Arsenal yafichuka