Interview hii mefanyika nyumbani kwao Dodoma, hii ni baada ya kusikika kwa mambo mengi juu ya msanii Dark Master ambaye ni moja kati ya marafiki wakubwa wa Marehemu Albert Mngweair. Lakini pia nje ya urafiki walikuwa wakiunda kundi moja la muziki ambalo ni East Zoo. Sikiliza hapa chini mahojiano haya na Dark Master