Kamati huru ya maadili ya FIFA imempiga marufuku ya maisha Jack Warner kujihusisha na shughuli zozote za soka.

Uamuzi wa kumpiga marufuku makamu huyo wa zamani wa rais wa FIFA na mjumbe wa kamati kuu, ulichukuliwa kufuatia uchunguzi uliofanywa baada ya kutoka kwa ripoti ya Kamati ya Maadili kuhusiana na mchakato wa uandaaji wa Kombe la Dunia la 2018 na 2022.

Nyosso Atupwa Jela Miaka Miwili
Angalia Trailer ya Filamu Mpya ya Cristiano Ronaldo