H Baba ameamua kumpa mwanae zawadi ya kipekee kwenye kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa huku akimuacha mkewe mdomo wazi asiamini kilichofanyika kama surprise.

Msanii huyo amemnunuliwa mwanae Tanzanite kiwanja kikubwa kilichopo Mbezi Beach, Dar es Salaam, eneo ambalo ni aghali sana kupata kiwanja. Tanzanite ameyaanza maisha ya mafanikio mapema kwa kuwekewa hazina ya kiwanja ‘uzunguni’.

H Baba amepost Instagram picha ya kiwanja hicho na kuandika ujumbe kuhusu zawadi hiyo.

“MWANANGU@tanzanitehbaba NIMEMPA ZAWADI YA#KIWANJA #MAENEO YA MBEZI BEACH CHENYE UKUBWA WA #52 KWA 44 ZAWADI HII NI YA #birthday YAKE YAKUZALIWA KWAKE NAMSHUKURU MAMA TANZANITEONE KWAKUNIVUMILIA KUPATA MSHANGAO WA KIWANJA CHA MWANAE #HAKUTEGEMEA #KIUKWELIMBEZI BEACH UWANJA SIO MCHEZO KWAWANAOJUA THAMANI YA ARDHI#WANAELEWA NINI NAMAANISHA#SIWEZI KUMPA MWANANGU ZAWADI YA GARI KWASABABU #BADO MDOGO PIA KIWANJA KILA ANAVYOKUWA NAKIWANJA KINAPANDA #THAMANIILA GARI #LINASHUKA THAMANI#NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWAKUFANIKISHA HILI KUBWA KWA MWANANGU @tanzanitehbaba haya haya walee wa mbezi beach #JIRANIYENU MPYAA @tanzanitehbaba @florahmvungi_online_adverts@kajalacelebrity2014”

Baba Yake Kim K Aliyejigueza Kuwa Mwanamke Ashindania Tuzo Na Malkia Elizabeth
Neymar da Silva Santos Júnior Atemwa Brazil