Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 11, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Ofisi ya Waziri Mkuu yatoa salamu za rambirambi Ajali ya Lori Morogoro
Wizara ya Uchukuzi yanena kuhusu ajali ya Morogoro