Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 14, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Lissu atakiwa kufika Mahakama Kuu kesho, kutetea ubunge wake
Bajeti ya Simba msimu huu yawekwa hadharani