Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 16, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

 

Huyu ndugu yetu ameonyesha uthubutu mkubwa- Mizengo Pinda
Viongozi Simiyu wapingana hadharani, mmoja atoa maagizo, mwingine atengua