Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Mbunge wa Marekani apewa sharti zito kuingia Palestina
Airport Terminal 3 yawapagawisha mabalozi, watoa ahadi lukuki