Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Serikali kupiga mnada asilimia 10 ya Mamba
Rais Magufuli kuanza na vikwazo vya Zimbabwe