Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 20, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Ushahidi wa video kesi ya vigogo wa Chadema watumika rasmi mahakamani
Prof. Ndalichako awafunda wanafunzi, 'Mkawe mabalozi wazuri wa nchi'