Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 30, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

JPM atoa wito kwa viongozi wa Kiafrika, 'Jiepusheni na fikra za kikoloni'
Serikali kuanza kuwachukuliwa hatua wanaosambaza taarifa za uongo