Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 5, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Makala: Nipsey Hussle, 'damu ya Afrika’ iliyotikisa Marekani, kumshika Jay Z na kuuawa
Video: Aliyempiga mabusu Beyonce mbele ya Jay Z azua balaa