Magazeti Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 23, 2018 7 years ago Comments Off on Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 23, 2018 Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Juni Julai 23, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele. Rais Magufuli leo kushuhudia utiaji saini ujenzi daraja la Salenda Majaliwa, Lee Nak-yon wafanya mazungumzo ya kiserikali