Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Julai 3, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Uhuru Kenyatta amtosa Jaguar, atuma ujumbe mzito kwa JPM
Waziri Mwakyembe ateta na mawaziri kutoka Zanzibar, wasaini makubaliano