Magazeti Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 17, 2018 7 years ago Comments Off on Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 17, 2018 Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 17, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele. Ringtone ajitosa kwa Zari, amnyooshea kidole Diamond Sheria mpya ‘kuwafunga’ wasiowatunza wazazi wao