Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 12, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

               

Waziri Mkuu wa Ethiopia ashinda tuzo ya amani ya Nobel, kukabidhiwa Sh 20 bilioni
Hatimaye mwili wa mama na mwanaye waopolewa baharini