Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 12, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

DC Kasesela azidi kuineemesha Iringa, agawa hati za ardhi zaidi ya vijiji 33
Maneno ya Mahanga pigo Chadema, Kamati ya maadili ya uchaguzi yatoa tamko