Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 12, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Bilionea Jack Ma ajivua madaraka Alibaba
Papa Francis asema chuki dhidi ya wageni inakumbusha enzi ya Hitler