Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 22, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Panga - pangua ya Rais Magufuli yagonga vichwa, zengwe hatari kwa JPM
Marekani: Ndege yaahirisha safari baada ya Wanaume kupungiana Mikono