Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 29, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Yanga yakwaa kisiki klabu bingwa Afrika
Waziri amtaka Mkurugenzi kusitisha ujenzi wa kumbi za starehe Iringa