Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 4, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

 

RC Makonda awasilisha muswada wa marekebisho ya sheria ya mirathi
Mwinyi Zahera afungiwa, Yanga yapewa onyo