Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 5, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

 

Serikali ya Tanzania yalaani vurugu zinazoendelea Afrika Kusini
Serikali yashangaa alichofanya ‘mkulima’ kabla Mahakama kuamuru ndege ya ATCL iachiwe