Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 6, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

Mke wa Rais wa zamani ahukumiwa kwenda jela miaka 58
Serikali yasitisha safari za ndege kwenda Afrika Kusini