Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 7, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Dar: Aliyejaribu kumpora fedha Padri auawa
Mfahamu Mugabe, kutoka kuitwa ‘mtoto wa mama’, kufundisha wafungwa jela hadi kuwa Mwamba wa Afrika